Tman900
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 589
- 1,897
Sio Vizuri kumsema mtu ila inatakiwa Kujifunza kupitia Wengine.
Kuna Rafiki yangu alikua na Maduka Matatu Leo hii Hana Duka hata Moja.
Jamaa alikua na Familia yake ambayo alitoka nayo kijijini Kuja mjini, walianza na Duka Moja, msingi ukakua na wakapata maduka Matatu, baada ya mda mshikaji akahama kwao yaani alipokua anakaa na wazazi wake Namananisha Familia.
Akaanzisha Uhusiano na bint mmoja hivi, matumizi ya mshikaji yalikua makubwa, Niliona hilo Tatizo nikamueleza huyu mwanamke, amekufanya kua mtu wa matumizi makubwa utafirisika hakunielewa, mara nyingi utamkuta Sehemu za atarehe na huyo mwanamke, shopping za mara kwa mara.
Baada ya kama Miaka kadhaa Biashara zikaanza kuyumba akafunga Duka la kwanza kwa kushindwa Gharama za uendeshaji, akukaa mda akafunga Duka la pili, Mwishoe akamalizia duka la tatu.
Akipoona anafirisika akaona auze Nyumba Ili aongezee msingi au akafungue Duka kwingine.
Akafanyana maamuzi ya kuuza nyumba. Akatafuta Sehemu akafungua Duka lingine nalo likafa kwa sababu ya matumizi yeye alikua anawekeza kwa mwanamke badala ya kuwekeza ktk Maisha yake.
Baada kufurisika na Hana chochote Mapenzi yake yeye na yule mwanamkea yakafika mwisho jamaa alikua ana haha, kinoma akipata pesa kidogo anaelewa na analia anamlilia huyo mwanamke.
Alimpangishia nyumba anaenda kufanya fujo yule mwanamkea akaenda polisi, polisi wakamkamata mshikaji wakamuweka ndani.
Tukafanya harakati za kumtoa jamaa alikua kama Chizi, ikabidi tutoe pesa kwa ajiri ya nauli arudishwe kwao akajipange upya na arekebishe akili yake aache kufanya Ujinga wa mapenzi.
Jamaa amekua zero, Vitu vya ndani anauza Ili tu apate pesa amfurahishe mwanamke.
Alikua Anafanya Kila jitiada Ili tu abaki na huyo mwanamke,
Yule mwanamkea alipoona kama anamkomalia aendelee na mapenzi na pesa Hana, akaamua kuhama na pia alikua na Mshikaji mwingine ambae yeye ni muajiriwa sio mfanya Biashara.
Yule mwanamke inavyosemekana aliamia kibaha..
Yule mshikaji mpaka leo hiii Hana chochote Maisha yamekua zero ndo anaanza upya Kutafuta Maisha,
Note: Vijana wekezeni kwenye Maisha yenu sio kuwekeza kwa mwanamke, au mapenzi Jua mwanamke anapenda Vitu unavyompa sio kukupenda wewe.
Linda Mali yako kwa Nguvu zako zote na akili yako Yote.