Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

πŸ˜‚, mashuka yakumbatwe ila nyeto aaah
Maisha haya kama hauna pesa za kutosha usitegemee kupata mwanamke wa ndoto zako mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na wakati unatafuta pesa unatakiwa ukane tamaa zako πŸ€”πŸ€”πŸ€” bila hivyo watoto wazuri utawasikia kwa jiraniπŸ˜…πŸ˜…
 
na wakati unatafuta hela pisi itakayo kuvumilia kipindi hicho kigumu usiiche kamwe.

kama niko wrong niko tayari kukosolewa.
 
Duuh anko hapo umenitikisa 😒 😒
 
Kijana ukiweza kuvuka hilo shimo utaona manufaa ya jasho lako
 

Attachments

  • IMG_20241112_021058.jpg
    64.1 KB · Views: 7
Umeongea kitu sahihi sana tunamkosea mungu sana kuwafurahisha watu badala yake yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…