Wekeza katika maisha yako, usiwekeze katika mapenzi

100% upo sahihi
 
Kusema kweli ile kitu ni tamu kuliko asali. Mtu wa umri wowote anaweza kuzama huko na akafilisika kabisa. Ndio maana inatakiwa utulie na mke mmoja tu utapata hiyo kitu bure au kwa gharama ndogo kuliko milupo na makondokando/mataptapu ya nje yenye kutaka dau kubwa huku hayaridhiki hata siku moja
 
Mfanyakazi mwenzangu alioa akatafuta demu lenye chura alafu jeupe siku ya harusi yao nikajiambia Moyoni moyoni huyu dogo kachagua presha kwa hela zake za mahali.
To cut the story dogo kawa mlevi mbwa mpaka anasahau kula na kuja ofisini na mimi kama boss wake nikikaa nae chini aliyoniambia kwa kweli yanatisha siwezi yaeleza jamani inawezekana watumishi wenzangu wapo humu maana wanaijua story ya dogo.
ILA JAMANI TUSEME UKWELI NDOA ZIMEKUWA KAMA JAHANAM NDOGO KWA WANAUME SIKU HIZI.Wanawake wamevurugwa wanaume tumeanza kuomba poo haki ya nani na kama unabisha kazini kwako anzisha topic ya maudhi ya ndoa uone kila mtu atavyokuja juu kulalamika utapata picha ya kitu anachokutana nacho.
 
Kweli ✌
 
Kimada ni hatari. Kimada ni hatari Mola atunusuru
 
Mind you, MAPENZI NI SEHEMU YA MAISHA..!! Nimemaliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…