Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Ndugu zangu kama heading inavyojieleza.
Kuna ndugu yetu katika Imani yeye ni hafidh WA Qur'an na yupo huko Magore jijini Dar es Salaam,ana madrassa anafundisha vijana wetu.
Lengo lake kubwa ni kujiendeleza kielimu ili walau afikie ngazi Fulani,mara ya Kwanza alipokuja dar kutoka kwao mkoani aliahidiwa na wenyeji wake kuwa mambo yatakuwa mazuri na malengo yake yangefanikiwa. Lakini Kwa masikitiko makubwa kituo alichofikia kimeshindwa kutimiza matarajio yake.
Hivyo hata kuishi kwake ni Kwa shida Sana na hata Kula yake ni mtihani Sana,lakini pamoja na yote hayo anaendelea kulea vijana na kuwafundisha na kumjua Mola wao.
Nimefahamiana nae kupitia jamaa yangu mmoja. Anahitaji msaada wa mtu ambaye atamfadhili aweze kutimiza ndoto zake za elimu ya Dini.
Hakika ukiwekeza katika elimu yake basi hakika umewekeza sadaka ya kuendelea na utaendelea kuchuma hata pale utakapo kuwa umeondoka duniani.
Nilishauriana nae juu ya kuandika ishu yake hapa nae akaridhia,kwahiyo yoyote ambaye anaweza kuguswa na swala hili inshallah nitampa namba yake pm awasiliane nae mwenyewe.
shukrani