Wekeza kwenye aridhi shamba heka 500 linauzwa

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
214
Anahitajika muwekezaji kampuni au mtu binafsi atakayeweza kununua shamba la ukubwa wa heka 500 lililopo mkoani morogoro , shamba limepimwa na lina hati, unaweza kutumia kwa matumizi mbali mbali kulingana na mahitai yako : maji yanapatikana pia umeme hauko mbali .


tunaweza kuwasiliana kwa maelezo zaidi

Tom Real Estate Agents
+255 685 31 23 26
Dar - Es - Salaam.
 
morogoro ni kubwa mkuu:- kuna ifakara, mang'ula, mikumi, turiani, kilosa, ulanga, kidatu, dakawa, mlimba, mbingu, mvomero, n.k Pambanua mkuu!
 
mambo za kununua hekari 500 sirudii tena. tulikodisha hekari 500 na mzungu mmoja. kuna siku tulikimbizwa kwa mapanga na wanakijiji eti tumevamia sehemu.

tutajie moro sehemu gani ili tufanye utafiti. maana wanakijiji wana hasira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…