Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Unaambiwa sasa hivi tumekuwa bichwa la mwenda wazimu .
kuna ukweli kabisa hebu fikiria watazamaji wale wa buku tano na timu inaka kambni etc watu wanajitoa sana acha tu ukiwa piga domo utasema wanapiga hela
akina Aveva walianza vizrui kwa kusema wataanza na ile strategic plan ya Prof Mbwete nashangaa kila kukicha wanapoteza tu inasikitisha kuona hata michango yetu ya kadi m]ya wameshindwa kuilipia kwa mchapaji na walikuja na mkakati wa kuongeza wanachama hadi 50,000 sasa ikiwa hata ada ya hawwa 3000 inapotea tu nimekata tamaa sana na hawahakuna haja ya hayo mambo...Tubadili mfumo wa timu ijiendeshe kibiashara...Timu ina miaka 100 alafu bado kuna upuuzi upuuzi huu...alafu na nyie mnaushangilia?
Ni upepo tu utapita, kama enzi za yebo yebo wakati Yanga ilikuwa choka mbaya zilipita itakuwa hii bwana .....Wamatopeni at their maximum,
akina Aveva walianza vizrui kwa kusema wataanza na ile strategic plan ya Prof Mbwete nashangaa kila kukicha wanapoteza tu inasikitisha kuona hata michango yetu ya kadi m]ya wameshindwa kuilipia kwa mchapaji na walikuja na mkakati wa kuongeza wanachama hadi 50,000 sasa ikiwa hata ada ya hawwa 3000 inapotea tu nimekata tamaa sana na hawa
Bila shakautakua YANGA wewe
hili suala la kadi linanikera sana nikikukbuka nilivyohamasisha wanachama wengi imeishia fedheha tuwatu wamelipa hela zao za uanachama....miaka nenda rudi hawapewi kadi zao za uanachama
Kuna Upuuzi mwingi sana
Lakini root cause ni mfumo huu wa sasa...ambapo tunaendesha timu kama chama cha siasa....Kila kiongozi atakayekuja atakuwa anataka kujinufaisha...hata aje kiongozi gani...katika mfumo huu things will be the same
Solution hapa ni kuachana na hii structure ya timu
mawazo haya yameishia tumboni tu na hata hao wachache KADI ZAO HAZIPOHEBU TUANZIE HAPA KWENYE HESABU NDOGO; HIVI KUCHAPA KADI MOJA NI SHILINGI NGAPI? NA KILA MWANANCHAMA MWENYE KADI ANALIPA SHILINGI NGAPI KWA MWAKA KAMA ADA? NA GHARAMA ZA KUIPATA HIYO KADI NI SHILINGI NGAPI? UKIWA AT LEAST NA WANACHAMA 1,000,000 KATI YA WATANZANIA WOTE UNAPATA SHILINGI NGAPI KWA MWAKA?
Yanga ilichoka lakini si kwa kiwango cha Simba ilivyochoka kwa sasa. Sikumbuki kama kuna miaka zaidi ya miwili ilipita bila Yanga kutwaa ubingwa, naomba nikumbushwe.Ni upepo tu utapita, kama enzi za yebo yebo wakati Yanga ilikuwa choka mbaya zilipita itakuwa hii bwana .....
Yanga iliwahi kuchoka hadi ikasambaratika na kuzaliwa Pan AFRICAYanga ilichoka lakini si kwa kiwango cha Simba ilivyochoka kwa sasa. Sikumbuki kama kuna miaka zaidi ya miwili ilipita bila Yanga kutwaa ubingwa, naomba nikumbushwe.