ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jersey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo ulofanyika.
Mbaya zaidi ni baada ya juzi wachezaji wao wawili wawategemeao saaana kuthibitika kuondoka ndio kabisaaaa wamelainika vibaya... wakiiagalia line up ya wananchi msimu ujao wanaishia kusononeka na kutishika mno.
Poleni sana jamani ndio ukubwa huo. Tuvumiliane tu.