ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Hawa wachezaji wa Vita ambao wapo Yanga haaafiki hata robo ya Vita ,usiwape hadhi hata kidogo ,tutawanyamazisha soon hao yangaSimba vs As Vita wamekuta a makundi Mara nne hivi karibuni.
Vita kashinda mechi moja. Point 3
Simba kashinda mechi 3. Point 9...
Umeshindwa kuifunga Yanga ya wakina Waziri Junior utaweza kuifunga Yanga ya wakina Aucho n.k . Jiandae kisaikolojia siku hizi tunakula Nyama pori mpaka mfupaHawa wachezaji wa Vita ambao wapo Yanga haaafiki hata robo ya Vita ,usiwape hadhi hata kidogo ,tutawanyamazisha soon hao yanga
CAf wakiwa wanatoa ile list yao ya team bora afrika huwa mnalalamika sana kumbe majinga yanawaza msimu mzima jinsi ya kuifunga simba tu, huo usajili wa kina wazir jr si ndo mwaka jana airport ilikuwa busy kwa vurugu za kubebabana kwenye machela?Umeshindwa kuifunga Yanga ya wakina Waziri Junior utaweza kuifunga Yanga ya wakina Aucho n.k . Jiandae kisaikolojia siku hizi tunakula Nyama pori mpaka mfupa
Kigoma ilikuwa unajisahaulishaUmeshindwa kuifunga Yanga ya wakina Waziri Junior utaweza kuifunga Yanga ya wakina Aucho n.k . Jiandae kisaikolojia siku hizi tunakula Nyama pori mpaka mfupa
Mbona tushawazoea na heka heka zenu za kwenda Airport kumbeba msomali juu juu kama Watumwa.Subiri ligi ianze sasa,lawama zote atabebeshwa Karia na TFF[emoji3][emoji3][emoji3]Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jearsey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo ulofanyika...
Toeni huo mwiko huko nyuma kwanza, mnaendekeza ushoga tuUmeshindwa kuifunga Yanga ya wakina Waziri Junior utaweza kuifunga Yanga ya wakina Aucho n.k . Jiandae kisaikolojia siku hizi tunakula Nyama pori mpaka mfupa
Wewe nimeshakugundua! Ukileta tu fyoko fyoko, namuita Maulid Kitenge, Mtangazaji Mahiri na Mchambuzi bora kabisa wa kandanda Barani Afrika na Duniani kwa ujumla, ili akushughulikie kwa uzuri.Angalia hii picha uniambie ni msimu gani ambao utopolo hawajawai kuasajili kwa makelele? kwanza niwaulize mbona msimu huu hamjaenda airport kupokea mitambo ya magoli?
Huo msimu wa kina sibomana hatukukaa kwa makelele huyoBalinya alikuwa anapigiwa kelele hadi kero, huo mweingien kina sarpong na Fiston ikawa kero unadhani nini kipya yaani simba ya 12 kwa ubora afrika inafikiria level nyingine siyo ujingaujinga wenu
View attachment 1895129
nilidhani yeye ndiye huwa anashughulikiwa au ni msumeno unakata kotekote ?Wewe nimeshakugundua! Ukileta tu fyoko fyoko, namuita Maulid Kitenge, Mtangazaji Mahiri na Mchambuzi bora kabisa wa kandanda Barani Afrika na Duniani kwa ujumla, ili akushughulikie kwa uzuri.
Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jearsey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo ulofanyika
Mbaya zaidi ni baada ya juzi wachezaji wao wawili wawategemeao saaana kuthibitika kuondoka ndio kabisaaaa wamelainika vibaya... wakiiagalia line up ya wananchi msimu ujao wanaishia kusononeka na kutishika mno
Poleni sana jamani ndio ukubwa huo. Tuvumiliane tu.
Imesogezwa mbele hadi tarehe 25 September.OYAA WAKUU..VIPI ILE KESI YA MORRISON KULEEE..SI WALISEMA MAAMUZI NI TAR 14 AUGUST??
Hana marinda yule.nilidhani yeye ndiye huwa anashughulikiwa au ni msumeno unakata kotekote ?
We acha tu, Utopolo walikuwa na hakina Sarpong lakini walituenyesha sasa sijui itakuwaje!Umeshindwa kuifunga Yanga ya wakina Waziri Junior utaweza kuifunga Yanga ya wakina Aucho n.k . Jiandae kisaikolojia siku hizi tunakula Nyama pori mpaka mfupa