Welcome back solo thang........

Jestina

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,828
Reaction score
1,712

yes he is back in tha game.....
 
Last edited by a moderator:
With THIS!! I would have to agree he is BACK! Hopefully for good....
Nice background sound, and an OK Video... Nimependa the Bridge part of the song.
 
With THIS!! I would have to agree he is BACK! Hopefully for good....
Nice background sound, and an OK Video... Nimependa the Bridge part of the song.

hehehe nimependa kila kitu kasoro kitambi.afanye mazoezi abaki na six pack lol sijui kavaa msinglend wa nini na yeye ana kitambi lol
 
hehehe nimependa kila kitu kasoro kitambi.afanye mazoezi abaki na six pack lol sijui kavaa msinglend wa nini na yeye ana kitambi lol



Solo thang si wa leo... kisha kua mtu mzima yule as much as katoa Music ipo cool, ikishaingia border line staying in shape is the most complicated things most fight with... ni kazi saana, atleast he has the moves....lol... hata kama za changa la macho.
 
I saw something repping NY, Philly and the UK.

In the Queen's accent.

"One would be hard pressed to find out this man is from Tan-zania".
 
hehehe nimependa kila kitu kasoro kitambi.afanye mazoezi abaki na six pack lol sijui kavaa msinglend wa nini na yeye ana kitambi lol

Ni kweli.

Ukishaamua kuwa mwanamuziki, kwa kiasi fulani unauza image.

Apate washauri wazuri, wanaovaa vifulana ni wenye misuli ya kuvutia wachumba.

Wenye vitambi wajue hilo na kuliheshimu.

Kwa wote watakaosema hayo ni superficiality, Solo anavutia zaidi akiflow Kiswahili kuliko Kiingereza. Kiingereza he is just another rapper. Kiswahili he is Solo Thang, the maestro lyricist.
 
Nah!! ..... did he crossed over from bongoflava?.... With that mellow east cost beat, the new england accent is primary.
He need to rap in swahili, and the track lacks 808.
 
...labda kwa wa miaka 12------17---20-----st...academia school, mie sijamuelewa kabisa, kwanini asiimbe kiswahili??? au ndiyo kuinternationalise?
 
Nah!! ..... did he crossed over from bongoflava?.... With that mellow east cost beat, the new england accent is primary.
He need to rap in swahili, and the track lacks 808.

ndio nini? lol
 
Mkuu umesema vyema sana,kuna vitu Solo anavyo hasa anapo rap kigumu na kwa lyrics mfano wa Vina utata huwezi kupata kwa yeyote! Solo kiboko bana!
 
Huyu bwana namkubali sana kwa nyimbo zake na mashairi yenye ghani ya hali ya juu.ana mtazamo na fikra za kimaono!!!Kifupi ameenea ktk bongo hip hop.Hili songi ni kali kila kitu,beat,chorus,bridge nk.Video ni superb.Tuko pamoja
 
Hakuna kitu hapo,aendelee kubeba mabox ulaya game ishamshinda.Hii nyimbo kwa haraka utaona kuwa ni nzuzi ila hakuna inachowakilisha.
Nadhani anawaimbia washkaji zake ama anataka kuwaonyesha wachache kuwa siku hizi anajua kingereza zaidi kwa sababu yupo ng'ambo.Kubwa linalowasumbua wasanii wa kitanzania ni kutojua maana ya sanaa.Sanaa haitenganishwi na utaaduni ,sasa utamaduni wa kitanzania na kingereza cha kuunganisha kutoka kwenye nyimbo za wasanii wa kimarekani wapi na wapi.!
Wasanii wa Afrika kusini zaidi 80% ya nyimbo zao wanaimba kizulu na wamefanikiwa kwenye majukwaa ya kimataifa japokuwa kingereza ni sehemu ya lugha yao ya taifa kwa kiwango kikubwa .Ila utamaduni wao na kingereza mbali kabisa.Ukienda Congo nao vivyo hivyo wanaimba kilengala zaidi ya kifaransa,hata kama wakiishi ufaransa bado utawasikia wakiimba kilengala.
Sasa hawa wakwetu bongo sio Solo peke yake wapo kibao wakienda ulaya miaka 3 ama 4 wanajifanya wao wamesahau utamaduni wao na kuiga /kuwakilisha utamaduni wa kimagharibi.
XP wa Arusha wamefanya matamasha makubwa tu huko Europe wakiwasilisha Hip Hop kwa lugha ya Kiswahili na wakati mwingine wakichanganya na vionjo vya kimasai na wamekubalika sana.Gson alionekana dunia nzima akishirikiana na magwiji wa Hip Hop duniani kama KRS 1 kwenye tunzo za BET 2009 wakifanya freestyle jamaa akachana kibongo (Kiswahili )mwanzo mwisho clip kwa muda mfupi ilitazamwa na watu zaidi ya 400,000 duniani kote kupitia utube ,watu wakimpa big up jamaa.
Amkeni wasanii wa kibongo
 
Ashadii nakukubali kwa kujitahidi kutuelewesha.
 
Mimi naona ni kama jioni now kwa solo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…