Sina Tatizo na Huyu Mama na Ninachompendea Huwa ana Staha Ya Hali Ya Juu sana na Hana Makuzi na Anapenda Mno Kukienzi Kiswahili Chetu na Kwa Kiasi Kikubwa Anaweza au Anafaa Sana Kuwa Mentor wa Wasichana, Mabinti na Wanawake Wetu wa Kileo. I Salute You Madam Asha Rose Migiro na Namtakia Kila la Kheri ktk Nafasi Yake Mpya hiyo na Tumpe Ushirikiano.