Habari mkuu. Naulizia Speaker ambazo unaweza tumia kwa kuweka flash. Sio zile kuubwa wanatembea nazo watu wa promo barabarani. Pretty design... preferably thin vertical models ambazo unaweza kuweka seating room kwa ajili tu ya kusilizia mawaidha ya dini hivi. So hapo hakuna subwoofer. Asante
Beba uhd mtalaam maana inch kama iyo mzee ukiitundika kwa seburee lazima house gelo awe makiniNikitaka Inch 65 ipi ni nzuri na reasonable price?