Ndugu zangu wana-JF,
- Where liberty is, basi huko ndiko kuna my country, na those who would give up essential liberty kwa ajili tu ya ku-purchase a little temporary safety, basi they deserve neither liberty nor safety.
- Ahsanteni wana-JF kwa ukaribisho mzito sana na ukarimu mkubwa sana kupitia demokrasia na liberty, demokrasia ni very expensive commodity lakini ni bora kuwa nayo kwa gharama zozote zile kama vile ninavyoona hapa JF, kuliko kutokuwa nayo kabisa kama Zimbabwe.
- Nimeshakaribia na wakati mufaka nitaanza kuchangia taifa letu ambalo pia ni langu kama wananchi wengine wote kwenye mijadala mbali mbali humu ndani.
Mungu Aibariki Tanzania na Wanachama Wote wa JF.
William.