welding machines

welding machines

Ginner

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2011
Posts
1,532
Reaction score
2,065
Tunaunda welding machines kwa bei nafuu. Tunapatikana Dar es salaam. Na kwa wale WA mkoani tunautaratibu WA kuzisafirisha mpaka hapo ulipo.

bei zetu ni 300,000/= kwa mashine ya Amps 280 na 400,000/= kwa mashine ya Amps 350.

pia tunamashine za kucharge better. Mashine ya kucharge battery tano tunauza kwa 230,000/= na battery 10 kwa 270,000/=.

kwa mashine mbovu pia tunazirekebisha kwa gharama nafuu.

mawasiliano: 0755 815174
 
hizo machine ni imported au Local made?
 
hizo machine ni imported au Local made?

local made (tunaziunda kwanzia mwanzo). Pia tunafanya repair kwa mashine zote za local na imported.
 
mbona hupokei simu?

samahani mkuu, namba nilioitumia hapa kwenye bandiko ni namba ya ofisi. Simu siko mayo hapa. Naomba tuzungumze kesho muda WA kazi tafadhali. Nisamee bure kwa kutopokea simu yako
 
Tunaunda welding machines kwa bei nafuu. Tunapatikana Dar es salaam. Na kwa wale WA mkoani tunautaratibu WA kuzisafirisha mpaka hapo ulipo.

bei zetu ni 300,000/= kwa mashine ya Amps 280 na 400,000/= kwa mashine ya Amps 350.

pia tunamashine za kucharge better. Mashine ya kucharge battery tano tunauza kwa 230,000/= na battery 10 kwa 270,000/=.

kwa mashine mbovu pia tunazirekebisha kwa gharama nafuu.

mawasiliano: 0755 815174
kaka naweza pata mashine ya kucharge Battery za magari betri kwanzia 10 na kuendelea
 
Back
Top Bottom