Well done Ezekia Wenje, umeweka rekodi vizuri sana, ni vema wanachadema kupuuza porojo, stori na hekaya za kusadika za akina Lema na Heche

Well done Ezekia Wenje, umeweka rekodi vizuri sana, ni vema wanachadema kupuuza porojo, stori na hekaya za kusadika za akina Lema na Heche

Tlaatlaah

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2023
Posts
24,665
Reaction score
25,388
Ukweli uliowekwa wazi na mgombea umakamu uenyekiti wa Chadema Taifa Ezekia Wenje, umebadili uelekeo na kuweka sawa uoptoshaji na unafiki wa kiwango cha juu sana, ambao umekua ukisemwa na kusambazwa kwa makusudi na Lema na Heche dhidi ya mwenyekiti wa Chadema Taifa, kuhusu mambo mbalimbali ndani ya chadema.

Ezekia Wenje ameeleza umma na wanachadema ukweli mtupu, dhidi ya uzushi, uongo na uovu wa akina Lema, na kueleza kwa usahihi sababu za chuki, hasira na uhasama walionao dhidi ya chairman Mbowe.

Ni wazi,
Ezekia Wenje amenyoosha na kusafisha njia vizuri, kwa mwamba wa kaskazini, statesman Freeman Aikaeli Mbowe kuchaguliwa na kushinda kwa urahisi sana uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema Taifa.

Wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa waliokua wamepotoshwa awali hivi sasa, Wenje amewaondoa kwenye sintofahamu na sasa wameungana na wenyeviti wao wa kanda, mikoa na wilaya na kujipanga vizuri kumchagua Freeman Aikaeli Mbowe.

Wale viongozi wa chadema walioshindwa kupata nafasi uongozi kwenye uchaguzi, ambao sio wajumbe wa mkutano mkuu wa chadema Taifa, kwa hasira za kushindwa uchaguzi, ndio wakaamua kumuunga mkono kibaraka wa mabwenyenye ya Magharibi. Na kwa hali halisi ilivyo, wamekata tamaa kabisa.🐒

Mungu Ibarki Tanzania
 
Hebu msikilize odero odero yuko radio one kipindi cha kumepambazuka anamwaga sera zake utuletee maoni yako kuhusu huyo mgombea wa uenyekiti chadema, yuko vizuri sana
 
Hebu msikilize odero odero yuko radio one kipindi cha kumepambazuka anamwaga sera zake utuletee maoni yako kuhusu huyo mgombea wa uenyekiti chadema, yuko vizuri sana
Lakini huyo si project ya mtu gentleman 🐒
 
IMG-20250116-WA0060.jpg
 
Back
Top Bottom