Wellu Sengo anasa Mimba tena

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
IMEVUJA ! Msanii wa filamu Bongo , Wellu Sengo , ' Matilda ' , licha ya kuwa na mtoto mdogo ambaye hajafikisha hata mwaka, inadaiwa tayari amenasa ujauzito mwingine.

Chanzo makini kinaeleza kuwa ujauzito huo ni wa mmoja wa wasanii wenye majina maarufu hapa nchini , ambao wamekuwa katika uhusiano kwa muda mrefu sasa .

Katika mawasiliano kwa njia ya simu , Wellu baada ya kubabaika, alikiri kuwa na ujauzito na kumtaja msanii huyo kama ndiye mwenye mzigo, lakini jina lake linahifadhiwa kwa sasa kwa vile mwenyewe hakupatikana ili kuzungumzia madai hayo.

"Haa , wewe nani kakuambia habari hizi , lakini aah, ni kweli bwana nina ujauzito na mwenyewe ni ( anamtaja jina) .

Si unajua tena mambo ya kawaida haya , " alisema muigizaji huyo . Msanii huyo anayetajwa kuhusika na jambo hilo, ambaye hata hivyo ni mume wa mtu , amekuwa akionekana kuwa Wellu karibu katika maeneo mengi ya starehe na kijamii akiwa.

Baadhi ya wasanii wamekuwa wakimdhihaki mwanaume huyo kwa kumuona kuwa haendani kimuonekano na mwanadada huyo.

Credit: GPL
 
Attachments

  • 1420437593383.jpg
    70 KB · Views: 1,817
Binamu kwa lile zigo pale kati, atamimbwa sana tuu...
 
Binamu kwa lile zigo pale kati, atamimbwa sana tuu...

mtoto mkali sana yule na ana swaga balaa, nae ameanza kuiga tabia za kina mama ubaya we muache tu
 
Atakua sio JB kweli huyo?niliwahi kusikia kua anawachanganya na shogake shamsa ndio maana kuna kipindi waligombana....
Mjini patamu sana
 
Atakua sio JB kweli huyo?niliwahi kusikia kua anawachanganya na shogake shamsa ndio maana kuna kipindi waligombana....
Mjini patamu sana

mwenzangu jb unamsingizia binamu, yule hanaga kizazi, yupo kwenye ndoa miaka kumi hana ata mtoto wa dawa... tumuondoe jb kwenye list japokuw ni kweli niliwah sikia aliwachanganya na shamsa mpaka wakagombana
 
Mhhh una uhakika gani kama hana kizazi jamani?kwani mkewe ana mtoto wa nje ya ndoa?
 
Mhhh una uhakika gani kama hana kizazi jamani?kwani mkewe ana mtoto wa nje ya ndoa?

upo dunia ya ngapi binamu? aliwahi kuhojiwa kwenye tv akasema ni kweli hana uwezo wa kupata mtoto , ilikuwa ni mwak juzi ivi, yey ndo ana matatizo jb
 
upo dunia ya ngapi binamu? aliwahi kuhojiwa kwenye tv akasema ni kweli hana uwezo wa kupata mtoto , ilikuwa ni mwak juzi ivi, yey ndo ana matatizo jb

Niliwahi kusikia hii kitu binamu,nilitaka tu bingwa wa ubuyu unihakikishie...lol
Sasa bado hujamjua tu aliyempa welu huo mzigo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…