Wellu Sengo anasa Mimba tena

Ila jamaa nae ana kashfa huyo JB.. Tuombee isiwe kweli maana Kama kweli basi ataondoka na wengi.
 
daah dunia hadaaa ulimwengu shujaaa....ila wellu si bora hata angezaa na mond tungemwona mjanja!achaaa
 
Mwenyewe kasema wa steve. Wasanii bana wana makubwa,mtoto wa uwoya kafanana na wa dude
Niliona kama shilawadu walimhoji kasema sio wa steve[emoji3] [emoji3] huyu welu huyu..sema ndo ivo wasanii wa bongo movie wamebaki kiki tu hivi wanatoaga movie siku hizi?
 
Steve mwenye busy kutoa povu

Wanatoa ila sasa hata sijui zinaishia wapi maana mtaani zimejaa za kikorea na kihindi za kutosha

View attachment 786234
Steve mwenye busy kutoa povu

Wanatoa ila sasa hata sijui zinaishia wapi maana mtaani zimejaa za kikorea na kihindi za kutosha
Umemwona Richie kwa pembeni apo[emoji3] [emoji3]

Yule mkuu wa mkoa mteule ai alisema sijui angelipiga marufuku filamu za nje? Kazi ya sitivu ni nini?
 
Yaan watu washaunganisha mtoto kopirait kabisaa

Kukataza vikorea ni sawa na kukataza mchezo wa kubet kwa wapenzi wa mpira. Stivu kazi yake ukuwadi tu

Na kutafuna rambi rambi[emoji3]
 
Steve nyerere ndio kazaa nae mtoto wa kwanza km sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…