Wema afanya shopping ya dollar 40,000

Kokwa kavu

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
220
Reaction score
41
Dah hlo jimbuz alilopata linamwaga hela source sintah blog
 

Attachments

  • dubai-31.jpg
    21.6 KB · Views: 337
  • dubai-4.jpg
    14.6 KB · Views: 377
  • dubai-feb-20-2012-1.jpg
    16.9 KB · Views: 418
  • dubai-2.jpg
    18 KB · Views: 433
Promo Only::

Usifanye mchezo na USD 40,000 wewe ngoja nikutajie kwa madafu yetu ni millioni 64 Tsh ushanipata hapo,haya twende ni kweli huyo dada kafanya shopping hiyo? Mil64 angekua nazo angepangishia,si angejenga nyumba? Funguka hizo ni Promo tu na kumuumiza diamond!
 
huwez jua mkuu dollar 40,000 thaman yake dubai ni tofaut na tz ila kama ni kwel atakua unawaza na pu...
 
nadhan anawazimu kama ni kweli. Huwezi kuishi nyumba ya kupanga halafu unafanya shoping ya dolar 40`000/=.sijui kama ni mzima au promo.
 
labda aliuza makalio akala bingo
 
Who is wema? weka cv yake, anamiliki nini? ni mtanzania?
 
huyu wema anafanya kazi wapi na kazi gani?
 
Wambea mpoooooo tupoooooo kusutwa sunnnnnaaaaaa
 
Acha uongo kijana, $40000 sawasawa na tshs million 70 za kitanzania.. Labda shopping ya $400
 
ukizoea kutajwa katika media ikifika mda hutajwi unapanic na kujipa kashfa au jambo lolote!!!hizi ndo mbinu wema na washkaji zake wanazitumia na kwakuwa kuna blogs nyingi basi mengi mtasikia!nakubali wema dubai alienda na pesa ya kutosha lakini si ya kufanya shopping ya $40,000
 
Hizo hela unanunua NBC na chenzi inabaki atatoa wapi?
 
angejenga kibanda chake akahama kwa wazazi wake angekua amefanya jambo la maana.....
 
$40,000 unajaza kontena la 20 ft..wabongo kwa uwongo bana
 
Hawana lolote hawa, kwa kuangalia tu utagundua ujumbe unaelekezwa kwa Diamond.

Ni utoto tu wakikua wataacha !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…