Wema afanya shopping ya dollar 40,000

shopping hatimaye imemuumbua,kumbe pedeshee(mume wa mtu) ndo kamchomolea huo mpunga kwny account yake.Hatimaye mke wa pedeshee kamcharukia wema
 
kweli wema fungu la kukosa....

$40,000 angejenga kibanda kimgemsaidia kukiko kupewa gari ya 'familia' sasa kimemnukia
 
kweli wema fungu la kukosa....

$40,000 angejenga kibanda kimgemsaidia kukiko kupewa gari ya 'familia' sasa kimemnukia

YAah kwa pesa hiyo angeporomosha kitu cha kufanana na cha dada Mwami. (Shikamoo Mwamvita)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…