Wema aja na Muonekano Mpya!

Wema aja na Muonekano Mpya!

1000 words

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
169
Reaction score
32
hayaaaa wema sepetu aamua kuja kvngne 4 da 1st tym baada ya kua star ameamua kunyoa nywele nw n mwendo wa para 2
Source:www.bongo5.com

attachment.php
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    111.4 KB · Views: 2,820
Duu ngoja nikamshauri wife anyoe, gharama kubwa za saloon/ wigi kumbe hazina maana!
 
Huyu demu bana hana uzuri wowote.
Bichwa baya, na hata Sura sio kabisa. Ukichanganya na tabia yake mbaya ndo sielewi kabisa kabisa anachopendewa na Wanaume!!

Ustaa nao ni kama ulimbo,
 
aaaaaaah haya banah mtasema yooote bt km ipoipo 2 wengne umu nshawaona n vipofu wanapapasa 2
 
Kama ameweza kutoa yale mawigi na kubaki na kipara chake, sasa ni wakati muafaka kwake kuacha kabisa kutumia ile mikorogo(Carlolite) ili abaki na ngozi yake nyeusi ya asili.
 
Mweee kipara kama King'amuzi cha startimes, hamna jipya hapo!
 
WEMA+SEPETU1.jpg
Mrembo na Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ameamua kubaki natural baada ya kuzinyoa nywele zake. Kupitia Instagram, Wema ameshare picha hizo na kuandika, ‘me apa nimenyoa nywele’. Ingia ndani kusoma maoni aliyoyapata baada ya kunyoa. ] citystarboutique Looking so young and freshhhhhh, lovely look 12min [ @ ] stevejns Daaaah …u loooks nycc jaman..y ukufanyaga hyo toka kitambo?..
 
Back
Top Bottom