Wema aja na Muonekano Mpya!

kweli mwanamke ni nywele kama jini
 
Na kukaa uchi wa mnyama jukwaani ameacha au tutaendelea kuona makalio yaliyochoka kwakwenda mileage nyingi kama gari kutoka Dubai?
 
Hata akinunua nguo mnamuandika duh
usupastaa bwana
 
Mweee kipara kama King'amuzi cha startimes, hamna jipya hapo!

Ninataman sana kumuona mkeo au demu wako akiwa amenyoa kama Wema nione muonekaano wake.....mkeo anaweza tisha hadi hadi kupata tenda za kutumika kutishia watoto wakiwa wanakataa kula
 
Amependeza sana japo mie sio shabiki wake. Mawigi kama ya masanja mkandamazaji yanalostisha hasa mablonde!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…