wale watangazaji wamechemsha sana...! tena ni unprofessional to do that, she is a public figure tena ameenda na meneja wake ambae ndio msemaji wa kila kitu! na alipoingia akatoa angalizo mapema kwamba kilichompeleka pale si kuongea habari za diamond na hayuko tayari kuzungumzia hilo
Wale nao muda wote wanaupoteza kwa kumlazimisha kujibu hayo maswali mpaka mtu anabadilika, anaanza kuwa mkali,anatoa mic akaamua kusepa....huu ni upumbavu ningekua bosi wao leo wangeona,
Wema bado anapenda dimond roho inauma
KaJIHARIBIA sana WEMA,alivyoingia studio nilihisi kama hakuwa akijiamini...
labda alikuwa anawahi hospitali kwa kanumba..
wale watangazaji wamechemsha sana...! tena ni unprofessional to do that, she is a public figure tena ameenda na meneja wake ambae ndio msemaji wa kila kitu! na alipoingia akatoa angalizo mapema kwamba kilichompeleka pale si kuongea habari za diamond na hayuko tayari kuzungumzia hilo
Wale nao muda wote wanaupoteza kwa kumlazimisha kujibu hayo maswali mpaka mtu anabadilika, anaanza kuwa mkali,anatoa mic akaamua kusepa....huu ni upumbavu ningekua bosi wao leo wangeona,
KaJIHARIBIA sana WEMA,alivyoingia studio nilihisi kama hakuwa akijiamini...
Stress zinamsumbua,she has to pay da cost to be da boss! Ni ujinga unamsumbua!
mnaomshabikia huyu dem na uozo wake anaoufanya (hasa midume) mngekua watoto wa kike mshatiwa mimba zamani sana
Hata mi nimeona ila the way walivyokuwa wanamhoji hata mimi sijafurahia ni kama vile wanashabikia na kale katangazaji kakafika mbali zaidi kakaanza kumshika shika maskio hata ingekuwa wewe lazima ungekula kona
wale presenters nao ni wajinga we unamlasimisha m2 kuongea ki2 ambacho hapendi kukiongelea hasa huyu wa kiume (samu misifa)
wenzetu huwa mnalala saa ngapi?