Wema amkumbuka ex wake baada ya kumwagwa na Idriss Sultan

Wema amkumbuka ex wake baada ya kumwagwa na Idriss Sultan

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Staa wa bongo muvi Tanzania beautiful onyinye Wema Isaac Sepetu amemkumbuka ex wake ambaye ni model mtanashati Luis Munana
Wema aliandika maneno kuashiria amelikumbuka penzi lake na Luis na kutupia picha waliyopiga pamoja .

Hata hivyo watu wengi wametafsiri ujumbe huo ni dongo kwa Idriss Sultan ambaye kwa sasa wameachana naye na kila mmoja ana hamsini zake
1473778709011.jpg
 
Wameacha huku idriss hiyo sikukuu ya jana kaenda kudoea kwa mama Wema Sepetu mmmh kweli huu mchezo hauhitaji hasira [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hawa walishaachana kitambo, sema Idrisi amechoka kumfunika wakati wakitaka kudaka pesa. Hata usiku wa Bella... Escape one mwaka huu wote walikuwepo, ila Idris alikuwa na wake. Walionekana humo humo ndani.
 
Back
Top Bottom