Wema amlipua Kajala kisa unafiki

Wanamgombea aunty Ezekiel teh teh teh...
 
Hv ile nyumba alopangishiwa na huyo CK huyu newspaper qeen ameshaondka maana nlickia mkataba ulikwsha mwez june
 
Hv ile nyumba alopangishiwa na huyo CK huyu newspaper qeen ameshaondka maana nlickia mkataba ulikwsha mwez june

zamani mbonaah!kapanga sjui wapi vichochron huko
 
Wema alidanganya umri alivyogombea miss Tz,alikuwa na 16 kama sikosei

Nafikiri alishiriki akiwa na miaka 17 na miezi 11 (mwezi huo wa 8). Mwezi wa 9 ulipofika ndo alitimiza miaka 18. Si unajua watanzania hadi tukifikisha ile tarehe ya kuzaliwa ndo tunabadilisha na miaka yetu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…