Wema amzaba makofi meneja wa hoteli

Fujo zote hizo...hoteli haina security wakuwarusha nje?
 
Hapo ni mawili hiyo story imetengenezwa ili wauze gazeti maana ndio tabia ya wema haingii akili wataje jina la manager wasitaje jina la hotel hao waandishi wa global wote wanaenda kuchukua hela kwa wema wakimuandika kama wazee wa lumumba vile au kama ni kweli huyo manager aliogopa kuludisha mashambulizi ili kulinda kibarua chake hasingeweza kupigana na mteja
 
Ila jamani msimlaumu meneja! Hapo meneja kaambiwa wema ana mamlaka nchi hii, akiangalia nyumbani ukoo unamtegemea! Unadhaani atathubutu hata kunyanyua kope ya jicho? Kuna watu hatuna ma GodFather wala Surnames za kuogopesha! Basi tuko wapoleeee hata tukionewa tunamshukuru mungu tu.
 
Huyo jamaa niye ni --------. Anakubali mwanamke apandishe kofi.
 

..ningekuwa huyo meneja, wema angekalia chupa mpaka itokomee
 
mmh ngumu kuamini.
Yaani mwanaume apigwe na wema tena vibao visivyo na idadi?
Hapa wanamsingizia mtoto wa watu ili awalipe fidia sbb wanajua anazo.
Au pia labda ni story ya uongo ya kuuzia magazeti.
 
Siyo Wema alizidiwa na kilevi cha pombe,Bali alizidiwa na madawa
Hii Hitel ndio Kamanda Siro kaitaja jana
 
Watu wanahisi RC Paul na Siro wamekurupuka kumbe kiukweli hili swala lipo na ni ukweli mtupu. Yawezekana tunakosea aproach lakini but ni a fight worth fighting
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…