ZILE tambo, mbwembwe na majigambo ya Miss Tanzania 2006/07, aliye pia msanii wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu, zimefika mwisho kufuatia kunyang'anywa samani za ofisi yake ya Endless Fame Film Production na aliyekuwa mpenzi wake, Clement ‘kigogo wa ikulu' na sasa amebaki mweupe, Amani limepakuliwa ikiwa imeiva.
ZAIDI BOFYA HAPA:WEMA ANYANG'ANYWA KILA KITU, KISA KURUDIANA NA DIAMOND - Global Publishers
View attachment 132743
Yesuuu Clement kapime monomaooo uwiiii uwiii ngifilaaaaanulakiri
CLEMENT APAWOMIII
Huo ni unyanyasaji wa kijinsia.
Kama Wema ana lawyer , huyo jamaa anaweza kuishia kubaya
Huwezi mnunulia mpenzi wako kitu halafu uende kumnyanganya, kinachotakiwa ni kusahau tu.
Imagine mwanao au dada yako anafanyiwa hivyo utajisikiaje?
vitu vya haramu havina sheria na hata ukivimiliki kwa sheria havidumu lielewe hiloHuo ni unyanyasaji wa kijinsia.
Kama Wema ana lawyer , huyo jamaa anaweza kuishia kubaya
Huwezi mnunulia mpenzi wako kitu halafu uende kumnyanganya, kinachotakiwa ni kusahau tu.
Imagine mwanao au dada yako anafanyiwa hivyo utajisikiaje?
lini udaku ukaja hapa JF acha kufatilia maisha ya watu ukiona unafatilia maisha ya watu ujue kuna majukumu ya kwako hutimizi
Huo ni unyanyasaji wa kijinsia.
Kama Wema ana lawyer , huyo jamaa anaweza kuishia kubaya
Huwezi mnunulia mpenzi wako kitu halafu uende kumnyanganya, kinachotakiwa ni kusahau tu.
Imagine mwanao au dada yako anafanyiwa hivyo utajisikiaje?
Akuna lolote..angekua mke wa ndoa sawa ila kwa dzaini hzo watanyanganywa sana awa masuperstaa wenu, mpka waje kujitambua...badae sana