lini udaku ukaja hapa JF acha kufatilia maisha ya watu ukiona unafatilia maisha ya watu ujue kuna majukumu ya kwako hutimizi
Alafu aliewaambia huyu clement ni kigogo wa ikulu nani? Au ndio mnauliza kijanja mpate habari zake?
Wema amesema baby yake(diamond). atamnunulia baada ya wiki mbili.
Bora clement arudi kwa mkewe matha khu nae hajatulia huyu jamaa kuona dermu anajina kamrukia baba sio kila king'aacho ni dhahabu.
Alafu aliewaambia huyu clement ni kigogo wa ikulu nani? Au ndio mnauliza kijanja mpate habari zake?
hivi unajua maana ya kigogo lakini?
usije ukadhani ni mtaa..!!
pole yake jamani Wanawake Tuamke tuache utegemezi pesa ya Mwanaume iwe ya ziada tu tafuta yako Mwenyewe Khaa.
Ukistaajabu ya wema kuponywa Audi q7,utayaona ya wolper kunyang'anywa x6...
pole yake jamani Wanawake Tuamke tuache utegemezi pesa ya Mwanaume iwe ya ziada tu tafuta yako Mwenyewe Khaa.
Tujuze zaidi? bado tupo gizaniAlafu aliewaambia huyu clement ni kigogo wa ikulu nani? Au ndio mnauliza kijanja mpate habari zake?
Kwa dada yangu au mwanangu atakayemchukua mume wa mtu kwa staili ya Wema huku akijua kabisa ni dhambi ntamwongezea na viboko kabisa.Huo ni unyanyasaji wa kijinsia.
Kama Wema ana lawyer , huyo jamaa anaweza kuishia kubaya
Huwezi mnunulia mpenzi wako kitu halafu uende kumnyanganya, kinachotakiwa ni kusahau tu.
Imagine mwanao au dada yako anafanyiwa hivyo utajisikiaje?
Kweli ni mfanyakazi wa ikulu na hiyo kazi alimtafutiaga wife wake ambaye na yeye yupo stable kwenye suala la cash...in short sio familia ya njaa
Ikulu kitengo gani......................... ahah
Ukistaajabu ya wema kuponywa Audi q7,utayaona ya wolper kunyang'anywa x6...
duh wewe Mali hadi kitengo unataka kujua