Na ofisi mbwembwe zilikua hivi hiviii,sie yetu macho auseee
Wewe subiri kama unanyolewa the return of king madam.
Ungesema kwa kiswahili tu wala usingepungukiwa kitu,pambafu
Ungesema kwa kiswahili tu wala usingepungukiwa kitu,pambafu
Sorry queen madam wa mahela.
Sana.....mpk ngozi ya papuchi anabadilisha
King madam ndo nini sasa.Wewe subiri kama unanyolewa the return of king madam.
Badala afate vipodoz Us anafata China watanunua timu yake waliovaa sare siku zile,wamejazwa kete za madawa makalion hao hawana lolotee
asante kwa kuliona hilo.ila mimi nasubiri tu ziwapasukie au iwe kama ya rafiki yao jack macau.na hayo matanuzi atayaskia kwenye Bombay. hata matajiri wenyewe hawafanyi kama huyu wema.halafu hao wanaume kilasiku mku.....ni kwa wema hawana kazi ya kufanya?.na wengine wameoa sasa huyo mwanamke anaangalia tu mume anakwenda kubanjuka na wema.kweli dhiki nakukosa elimu ni mzigo
Wewe subiri kama unanyolewa the return of king madam.
Hahahaaaa katika siku ulizochemka leo # 1
Umeona eeeee
Basi hapa Dinazarde hasogei na ubuyu wa Mzee issa ameagiza. Kwa kifupi Wema amerudi mazima, kajala ndo ashaachwa na CK, kadinda ticket analipiwa na mabuzi, petit Ana deal zake mjini zisizo na jina, wema nae ndio hivyo amekamata buzi Nene lililoshiba haswa...
Kuhusu first class ni kweli ila hotel ni ya kawaida haifanani hata na 2 star. Ninavyomjua Wema wangu basi ingekuwa 7 star kweli lazima angepost facilities. Ukweli amerudi hasa
Mi nakumaindig wewe unasemaga ukweli kabisaaa,petiti madeal gan hayo yaan sasa hivi airpot wangefanya ukaguzi wa hali ya juu,Ck kamwacha kajala kisa nini kamchoka au??
Wema kapata buzi gani hiloo jamanii na dai je? ?
Hapana naskia huwa anatumia kubana issur
Kwa kajala alienda kumkomoa Wema tu na kajala alishapewa kubwa ila ndo hivyo anabembelezea abakibaki. Kuhusu buzi nasikia ni siri watu wanahisi hisi tu, birthday M.10, Gari , first class China ndani ya mwezi kwa ubahili wa dai hata kwa bastola hatoi. kuhusu dai sasa hivi yeye ndo anaeteseka coz wema alishachoka vituko vyake ameamua kuwa busy kufanya yake japo si kwa kuachana. Dai kwa kifupi haijui hatima yake kwa madam. WiFi, mama MTU na Dai mwenyewe siku hizi ndo wanabembelezea kwa madam. We huoni wanavyopendeza siku hizi...yes hela walikuwa nayo na ni hela yao ila walikuwa hawajui wajipendezeshe vipi. Madam kawaspoil