Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Warumiiiiiiiii,Batuli sio changu?
Acha masikhara bhana.

Wote ni machangu,sema Wema yupo open tofauti na Batuli.
BTW Wema ni star,Batuli anamjua nani?
Ndio sema wema icho ndio kinamcost maisha yake ni kiki ndo maana mambo yake yanajulikana sana.

Batuli anavaa mask la kujifanya hana mautumbo. Tena kipindi cha kampeni nilisikia kuna mgombea alikua anabanjuka naye
 
kumbe watu huwa wanachange tu sjui ni economic situations ktokana na mzee MagU,WARUMI UMECHANGE SANA
 
Ndio sema wema icho ndio kinamcost maisha yake ni kiki ndo maana mambo yake yanajulikana sana.

Batuli anavaa mask la kujifanya hana mautumbo. Tena kipindi cha kampeni nilisikia kuna mgombea alikua anabanjuka naye
Batuli mchafu mnoooooo,watu hawayajui yake maana sio maarufu.

Wema ni maarufu jamani,hata afiche vipi yanajulikana.
Who the hell is Batuli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…