Wema Aonywa kuhusu Batuli, Batuli ni Mafia

Kama huo ndo u-smart basi tena....
 
Batuli ndio nani Kwan[emoji2][emoji2]
 
Inshu za batuli wengi hamna uhakika nazo mnaishia kusema mnasikia sijuwi...wakati inshu za Wema watu tunajuwa na tunauhakika kama yeye ni malaya tena wa kutupwa. Kiumalaya wema hana wa kumfananisha naye inchi hii she iz very dirty for sure by the way I love Batuli she is hot aiseee
 
Warumi siku hizi imekuwa wa ovyo hadi unalinajisi jina lako, umekuwa mbea mbea hadi unakifu.
Warumi itakuwa ni mtu anatumia jina lake.zamani nikiona Warumi ana Ubuyu unajua Leo raha.Ila huyu amekuwa mnafiki mbea na umbea wenyewe haujui basis ni tabu
 
Batuli aliopangiwa nyumba na Daudi akaja pinduliwa na Kajala
 
Kapigwa sana na naniiiii na chaliii angu mmoja kwa $ 500 kwa 3 days...khaaaa

Shikamooo ustadh juma namusomaaaaa
 
Mkuu Warumi msamehe huyo, join date yake ni Dec 2016, hajui Legacy yako ya umbeya humu JF.

Hajui bila wewe JF Celebrity Forum inakufa, na ukiwa BAN wanawake wanaandamana (+wanaume wa Dar) kukuombea uachiwe.
Aaah ahsante binamu kwa kutambua hilo
 
Warumi huna tofauti na Mange kimambi unayemponda, umekua ni mbea mbeaa, mshakunaku balaa yaani kifupi unachefua sana ptuuu
 
Mkuu wewe ni ME au KE?......Kama wewe ni Me halafu unaandika threads kama hizi basi nina wasiwasi na hormones zako.

Ushauri: Acha Umbea
Eeeeh ukiacha kunifuatilia na mimi ntaacha umbea
 
Nina mashaka na akili yako warumi mada zako za kipuuzi puuzi na wanaozifatilia pia ni wapuuzi kama. Hizi mada zinazidi kutufanya masikini nchini! Ovyo kabisa
Wewe ni mmoja wa hao wapuuzi sijui kama unalielewa hilo
 
Wema kalala hadi na marehemu baba ake, mdomo koma msinifanye nikafungua file la wema na mama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…