Wema atoa support kwa Diamond

Allyk Ni wakati wa yeye kujitazama upya kukubali kuunganishwa na team ya Wema ni jipu kwake.
Mbona yeye kama yeye akisimama anaweza bila team wema?
 
Kabisa mkuu!! Mapema sana kusema sepetunga amekubali yaishe na baba tee, hizi zinaweza kuwa ni 'mind games', tusubiri kidogo tuone

Kiufupi Wema kaacha maswali mengi kuliko majibu... Kuna mtu nilikuwa nae sehemu leo akaniambia eti mwezi huu anafanya tambiko la mtoto sasa sijui ni kweli so amepewa masharti.
 
despite her weaknesses nahisi ana roho zuri na hana vinyongo
 
Ngoja niiangalie hii muvi mwisho wake.
 
Hv Zari yupo? Sijasikia habar zake cku nyingi. Hahahaha! Cjui atasema nn kuhusu hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…