ushost na mama ubaya ni tabu tupu? maadui wake wote wawe wako pia...ukimsalimia kajala akununue, ukimpongeza domo kwa kupata tuzo aku unfollow!!
Mastaa wanaofanya poa kunako game ya film bongo, Aunty Ezekiel pamoja na wema sepetu ,hivi karibuni wanadaiwa kupatana baada ya bifu la muda mrefu kutokea hapo nyuma, hata hivyo baadhi ya mashabiki Wa wema sepetu wamekilaani kitendo hicho huku wakimuta aunty Ezekiel yuda.
Wapatana wapi
Wakati kasababisha kajala na wema kupimisha nguvu na kajala kumwagiwa thodaaaaa
Ningekuwa kajala ningemng'ata ngongoti yule na hivi mkorogo sijui angekuwaje
Yaani nimekushindwa!!! warumi siku hizi umechaacha wapi @Ms.Lincolin
Jamani umbea hamjaupata wa kajala kumwagiwa fanta ya 700
mwenzangu huo ubuyu nimepishana nao wapi sijui? hebu umwage hapa nisuuze nafsi mie
Jamani umbea hamjaupata wa kajala kumwagiwa fanta ya 700
Hawa nao mie huwa nahisi wanananiiana kwa matendo yao.
Wema ana roho nzr na anaover trust rafiki zake kupita kiasi hilo tu ndo tatizo lake
Aunt alienda kwa wema na gari akaliacha huko,kisha akampitia kajala wakaenda mahala,kufik huko wakamkuta wema na dada yake nuru,wakaenda kukaa meza ya kina wema,kajala nasikia akaanza kutunza kwenye band kwa fujo bihie wema akahisi anarushwa roho kwa hasira akamwagia kajala soda ya fanta na da nuri akamkunja kajala..aunt ndo akaanza kuamulia ila ugomvi ukamshindwa ikabidi akimbie yeye na kajala na handbag wakaziancha zikaja kufatwa na muna mindu...mpaka jana gari la aunt lilikuwa kwa wema ....huo ndo umbea.nasikia aunt akaitwa mnafiki na wema