The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,170
Hatimaye wema nyota avishwa tena pete kuonyesha bado nyota yake inang'aa japo anapitia misukosuko mingi katika mapenzi na kudhihirisha usemi ukisema chanini wenzio wanasema watakipata lini.
Jamaa anaitwa mwinyi kutoka machozi band na hafla hiyo imefanyika usiku huu pale new maisha club na kusindikizwa na mastar wenzake wengi kama sharomillionea,jb,gadna g habash,mateja na wengine kibao.
Kila la heri dada