Wema avishwa pete


huyo jamaa mwinyi hana uwezo wa kuwa na wema, anatunzwa na dem mmoja yupo pale sinza kila siku wanagombana wanatukanana usiku wa manane kisa hajapewa hela....dem mwenyewe anatembelea ki-raum kimechoka mara kibao huyo mwinyi hua anatembea nacho....msione mtu anavaa vizuri njaa tupu....juzi juzi tu kapasua vitu vyote vya dem katupa nguo nje sasa huo uswahili atamletea wema?? hamna kitu hapo...
 
Wema kwa kumwangalia anaweza kuwa na Umri kati ya 22 na 25.
 
dah hivi pete kiasi gani....mtajii toshaaaa,ilaa dogo hana jeuri ya kumliki hilo gume gumee au analipizaa kisasii kwa daimondoo kisaa kamwagaa na jokote kazii ipii
 
No i think this is not true. . and it must be! wema tulia kwanza jamani! real iwe movie. . whts your destiny girl? unafikiria kesho kweli. .
 
Nawashauri ndugu wa Wema wamchunguze akili za huyu binti.
Nina mashaka na afya ya ubongo wake.
 
Ooh pliz. . this is not true! ningeshangaa sana. . ni movie walikuwa wanaigiza. . baadhi ya media kazi kupotosha watu tu! milard ayo kareport vizuri tu! so punguzeni makali bandugu!
 
duh hiyo nanihii yake utakuwa umetepeshwa sana....mmh haoni hata kinyaaa kila siku dume jingine yupo kama mbwa mmmh

mkuu hata mbwa ana jiheshimu sana maana akiwa apigwa miti huchagua dume mmoja tu la kupanda na mengine hukaa pembeni kusubiri na maamuzi ya jike huheshimiwa hata dume linalopanda likiwa halina afya huheshimiwa
 
Ni walikuwa wana act movie ambayo itaitwa super star so....jamaa huyo mwinyi kwenye hiyo movie ana act kama diamond....kwa hiyo ni movie tu

Oops...... Nilitaka kuzimia.
 
Mhhhhh...... Jamani alikuwa anaigiza Movie yake atakayoitoa mwezi June, ambayo inahusu maisha yake kwa ujumla.
Na huyu Mwinyi ndo kacheza kama Diamond....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…