Mbona unamshusha madame jamani na yeye ndio celebrity wa bongo.Bajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.
Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?
Mbona unamshusha madame jamani na yeye ndio celebrity wa bongo.
sasa celebrity wa wala vumbi si ndio mla vumbi wa kwanza, sasa analalamika nini?Hata wala vumbi wana celebrities wao teh teh teh
sasa celebrity wa wala vumbi si ndio mla vumbi wa kwanza, sasa analalamika nini?
Serikali imemtekeleza Wema.Anatakiwa kupewa V8 ya kutembelea.
Wewe huyu wiki iliyopita ametuambia anatumia milioni ngapi vile kwa nywele kwa wiki. Kama alipanda basi alikua anaact movie ndio maana amekasikirika watu wanashoboka wakati yeye ni baby wa Range Rover New Model.Anacholalamikia ni watu kumshangaa yeye kupanda bajaji. Jambo ambalo nakubaliana naye. Maana bajaji ni usafiri wa kawaida tu siku hizi. Upo kila sehemu ya nchi hii. Sasa kwa nini akipanda yeye iwe gumzo? Wamwache bana.....
Kaachana na Range Rover kwa sababu seat zake zimemuharibu makalio na kuwa marefu kama kitako cha bundukiTumbua tumbua ya Magufuli imeleta mengi. Sasa jamani mbona akituonyesha Range Rover anataka tujue maisha yake.
sio kwa billionea wema sepetu, bajaji ni kwa ajili ya akina sie kantupeni
aisee kwa hiyo Tulia ndiyo beaty wako ,kweli hichi kiwi cha machoKama V8 hakupewa awamu ya nne aandike maumivu, huyu wa sasa anawasikililiza beauty with brains kama naibu speaker vile.
Dogo kuwa na heshima,boksi lisikupe kichwa..wajanja tulikimbia boksi na tunaenjoy hukuhuku kwenye vumbiBajaji mbona ni usafiri wa kawaida sana kwa wala vumbi.
Kuna mla vumbi kweli ambaye hajawahi kupanda bajaji au SANLG?