Wema 'full kicheko' baada ya Manji kuachiwa huru

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,772
Reaction score
22,598

Baada ya mfanyabiashara mashuhuri nchini, Yusuf Manji kuachiwa huru na Mahakama ya Kisutu jijini Dar, Staa wa Bongo Muvi, Wema Sepetu ameonyesha kufurahishwa na kitendo hicho kutokana na ujumbe aliouandika katika ukurasa wake wa Instagram.

Siku za nyuma Wema alikuwa akiposti picha za Manji na kuandika ujumbe wa kusikitishwa na kumuonea huruma mfanyabiashara huyo, lakini saa chache baada ya kusambaa kwa taarifa za kuachiwa, ameposti tena picha ya Manji na kuandika maneno yafuatayo:

“Alhamdullilah”

Manji ameachiwa huru leo Septemba 14, baada ya Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Serikali (DPP) kuiambia mahakama kuwa hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.


Muungwana
 
Maji afyatukie kusikojilikana aachane na maigizo ya WASIOJULIKANA. Baada ya miaka 8 patakuwa shwari, arudi.
 
Mjini mipango....

AnajiAddUp..

Teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…