Kama ulimsaidia kuzitafuta sawa ila kama hujui kazipataje ukianza kumpangia namna ya kuzitumia hela zake nitakuona ndezi.
Fanya yako.
Tatizo baadaye huwa wanatembeza bakuri ili wachangiwe pesa za matibabu wakati hizi pesa wanazochezea leo wangefunguwa miradi midogo midogo.
Tatizo baadaye huwa wanatembeza bakuri ili wachangiwe pesa za matibabu wakati hizi pesa wanazochezea leo wangefunguwa miradi midogo midogo.
Hhhhaaaaaa hivi Lulu ye pesa zake hua harushii hivyooo
Wema ni bora hizo pesa angemrushia bibi yake wa Singida ana njaa
Hela zimerudishwa backstage hizo mbona
Tena njaa kali......
huyu demu ni bogus sana