Wema: Hata nikizeeka nyota ipo pale pale

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mtoto mzuri Bongo, Wema Isaac Sepetu ameliambia Ijumaa Wikienda kuwa hata kama akizeeka na kuwa kikongwe, bado nyota yake itaendelea kung?aa siku zote wala haitafifia kwani amezaliwa nayo labda asiwepo duniani.

Wema ameliambia gazeti hili kuwa anamshukuru Mungu kwa kumjalia nyota hiyo ambayo inawezekana kuna watu wanatamani izimike wakati wowote, jambo ambalo haliwezekani leo wala kesho na kwa kuwa alitoka nayo tumboni kwa mama yake, Miriam Sepetu.

?Hata kama watu wataichafua kiasi gani, nyota yangu itaendelea kung?aa hadi nitakapokuwa mzee. Nitakuwa ni bibi mwenye mvuto na hata watoto watapenda kusikiliza hadithi zangu,? alisema Wema.
 

Attachments

  • 1447160466436.jpg
    44.9 KB · Views: 1,734
Ungependa na kujua ufanyalo mashabiki wake wotebwengi asilimia kubwa mauzo ya ile business inayotumia jina lake wamekaa mbali wanaziangalia angeweka bei nzuri insta tungekoma

Bora kapata shabaranks Anayemlipa kumtembelea ataacha sasa kumuongelea mume wa Zari aka Baba Tiffah kwenye my shuzi yake.
 
Huyu dada angekua na akili huu ndo mwaka wake wa kuwekeza. Soon anasahaulika...no wonder she keeps pushing for cheap publicity siku hizi. I loved juzi kwenye party yake, waalikwa wote wanamjua kwamba ni mama attention seeker basi wakawa wamekaa tuli wanamuangalia drama zake maana hakuna jipya washamzoea....:yawn::yawn::yawn:
 
Kuzeeka halaf sa hiyo huna kumi ni stupidity..hlf juz amezindua lip sh...vzr sana wema...bt tafuta bidhaa ambayo itanunulika na wote ie..print t.shirt tupia swaga zako iwe picha yako iwe midomo name it Wema brand uone kama hutakamata pesa mpaka uchanganyikiwe! Weka fair price walah navyokupenda wema lazma ninunue hata t.shirt 10...fursaa.
 
Ndio inang'aa hata sasa kwani anaujana gan? Ameshazeeka kitambo
 
Leo ameshaingia mkenge wa bei za lipstick zao ambazo kwa wiki moja hawajauza kama walivyotegemea na hiyo nyota kweli nyota mbaya

Wiki moja watu eenye nyota huwa wanaishiwa stoki na kuomba uvumilivu wa wateja wasubirie wewe unatimiza wiki unashusha bei iwe nusu


Aaagh kweli hiyo nyota kaa nayo kama zamani nilisemaga hata wanangu hawatakujua khaaaaaa

Ufungage mdomo wako, wiki unashusha bei kuwa nusu pole sana na huyo msahauri wako wa biashara acha akule tu pesa yako.

Nyota ya mikosi nenda kanisani kasali na kasaliwe mwanamke wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…