Wema hewan lakin.........

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Saiv wema yuko hewan eatv na kipind chake.
Ila sasa jaman huyu mtoto ni muongo cjawah kumuona,yaaan anadanganya vitu kibao.
Angejua kama tunajua ishu zake nyingi.......
Lol...............
Puuuuu........................
 
nilikua naangalia...youknow kibao..anajichanganya wee....

kuna vitu vingi vinamiss katika show anahitaji kuwa mbunifu zaidi..ila ya leo DUUH
 
Na kam ameamua kuweka kipindi kinachimuhusu anatakiwa kuwa muwazi pia sio mambo mengine I don't wanna talk about it

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Na kam ameamua kuweka kipindi kinachimuhusu anatakiwa kuwa muwazi pia sio mambo mengine I don't wanna talk about it

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums

eti usiniullize hilo swali......sijui alikuwa anamaanisha nini
 
she likes publicity....aliwahi kusema hivyo kwenye mkasi na Salama Jabir, no wonder ideas zake nyingi ni ujinga tu...just for the sake of publicity i suppose!

Hivi, lile jumba lake na Zamaradi liliishia wapi???
 
Hao ndio mastaa wa bongo wanapenda kujionesha matawi sana na kutafuta sifa za kijinga.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…