Wema, Idris nusu wazichape, kisa wivu wa mapenzi

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MALKIA anayemiliki Kampuni ya Endless Fame Production , Wema Isaac Sepetu na Mshindi wa Big Brother Africa 2014 /15 , Idris Sultan ambao wamekuwa marafiki wakubwa katika siku za hivi karibuni, nusu wazichape kavukavu baada ya kupishana kauli huku wivu wa kimapenzi ukitajwa .

Tukio hilo lilijiri mwishoni mwa wiki iliyopita nje ya Hoteli ya Hyatt Regency Dar es Salaam , The Kilimanjaro iliyopo Posta jijini Dar ambapo kwa pamoja walikuwa wamehudhuria sherehe ya utoaji Tuzo za Watu .
Kwa mujibu wa shuhuda wetu , tafrani ya wawili hao kutaka kukunjana ilitokea baada ya kumalizika kwa shuguli hiyo ambapo Idris alimpora Wema tuzo yake aliyoshinda na kwenda nayo kwenye gari lake.
Ugomvi huo ulipamba moto na kusababisha watu waliokuwa wakiwashuhudia kutaharuki ambapo Wema alikwenda kwenye gari lake lililokuwa likiendeshwa na Petit Man lakini Idris alimfuata akionekana kumuonea wivu na kumtaka apande gari lake waondoka jambo ambalo Wema alilitolea nje na kumfungia kioo.
Mshindi wa Big Brother Africa 2014 / 15 , Idris Sultan .
Baada ya kuona Wema amemtolea nje , Idris alikwenda kwenye gari lake na kuliegesha mbele ya gari la Wema ‘ kum- block ’ ili asiondoke ambapo alishuka na kumwambia Petit Man ahakikishe anamfuata kwa nyuma jambo ambalo Petit Man alishindwa kulitekeleza baada ya Wema kukataa .
Baada ya kushuhudia vurugu hizo , mwanahabari wetu alimfuata Wema ili kujua kilichotokea ambapo mwanadada huyo alisema kuwa haelewi ni kitu gani ambacho kilimkuta Idris siku hiyo maana kama angekuwa anakunywa pombe , angesema labda alizidiwa lakini kwa kilichotokea hadi leo hajui ni kipi kilimkuta .
Wema Isaac Sepetu akiwa na Idris Sultan.
“Yaani hata sielewi Idris alifikwa na nini maana amefanya mambo ya ajabu sana na mara ya kwanza nilijua utani lakini nilimshangaa zaidi baada ya kukomaa hadi kufikia hatua ya kuni- block na gari lake huku akitaka niondoke naye wakati kila mtu alikwenda pale kimpango wake . “Mimi nadhani kuna utoto fulani bado anao na unamsumbua, ” alisema Wema lakini Idris hakupatikana kusema chochote .
 

Attachments

  • 1432978924062.jpg
    40.4 KB · Views: 2,406
Mmmmmh nilijua Tu washadinyana hawaa,Ila Idrisa kwa mcharo aiseeees
 
duuu kama warumi ni mwanaume akikuoa kusutwa hapo home ni 2×3/3 kama panadol
 
Mmmmmh nilijua Tu washadinyana hawaa,Ila Idrisa kwa mcharo aiseeees

Kwa jinsi nilivyoona hawa washaonjana hawa kishkaji naona jamaa siku hyo alilewa akawa anataka tena mambo...Na wewe nae kumsifia idris mzuri mxiuuu toka apa ana uzuri gani sura imemkomaa kama nazi , sema swaga zinambeba sana na kujiamini
 
Mmmmmh nilijua Tu washadinyana hawaa,Ila Idrisa kwa mcharo aiseeees

hv huyu Idriss si kila siku namuona Insta na demu wake Samantha and I hope wanakaa wote!

Ila sishangai kukaa karibu na wema bila kumBVR inahitaji moyo manaake ila mi hips yake inavutia kuitafuna hadi raha
 
Hawa nao wameona Idris ana girlfriend wake anatanua basi tena wameanza kumfatilia, angetoka na madam tusingesikia haya.

Si wanasemaga Idris anapenda jokes kwa hiyo ndio ilikuwa hivyo I guess.
 
Kwa jinsi nilivyoona hawa washaonjana hawa kishkaji naona jamaa siku hyo alilewa akawa anataka tena mambo...Na wewe nae kumsifia idris mzuri mxiuuu toka apa ana uzuri gani sura imemkomaa kama nazi , sema swaga zinambeba sana na kujiamini


hhhhhaaaaaaaa na tumiguu twake sasaaa
 
hv huyu Idriss si kila siku namuona Insta na demu wake Samantha and I hope wanakaa wote!

Ila sishangai kukaa karibu na wema bila kumBVR inahitaji moyo manaake ila mi hips yake inavutia kuitafuna hadi raha
Hips utazitafuna sikatai ila ulishawahi kutupia macho upande wa pili wa downstairs i ment miguu kuanzia mwisho wa mapaja mpaka visigino?
There is absolute no understandable meaningful relationship between the termed body units anatia kichefuchefu mchina umemdisfigure from skin pigment to body morphology.
 
natamani ungeweka picha ili nione hapo kwenye red
 
Ahahah, halafu mimi ata sio muongeaji, nina aibu sana, keyboard tu inanipa wazima kwa kuwa sionekani,uwa siwez kuongea live kabisa, hahaha

Huyo mke si utakua unamsengenya mkeo humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…