Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Would the general public have interest in this too personal matter?
Wale wasanii wa bongo movie wema sepetjacq wolper,na irene uwoya wamepatanishwa na Dotnata pamoja na JB,walipatanishwa kwenye sherehe a kuzaliwa ya irene uwoya na chanzo cha ugomvi wao ilikuwa kuchukuliana na kuibiana wanaume hivo wameapa kutoibiana mabwana tena,source waliokuwa kwenye sherehe nikiwemo
hili jukwaa la celebrity:...na hao ndio macelebrity wa apa bongo tz
Ndio kina nani hao?
SHULE SHULE SHULE JAMANI.
Wenzetu nje ya nchi hata kama hawana shule wanakua na EXPOSURE.
Sasa angalieni IRENE ni mke wa mtu bado anagombana kuibiana bwana na wanawake!!!!!!!!!!!! mumewe naye HOVYOOO.
Jacky Wolper hakumaliza form four Irene sijui kama kamaliza, Wema mnamjua-------------
Would the general public have interest in this too personal matter?
Wale wasanii wa bongo movie wema sepetjacq wolper,na irene uwoya wamepatanishwa na Dotnata pamoja na JB,walipatanishwa kwenye sherehe a kuzaliwa ya irene uwoya na chanzo cha ugomvi wao ilikuwa kuchukuliana na kuibiana wanaume hivo wameapa kutoibiana mabwana tena,source waliokuwa kwenye sherehe nikiwemo [//quote]
kwahiyo?? yanakusaidia nini? huoni aibu kushabikia mambo haya? badilika hizi sio kazi za kiume
Ndio kina nani hao?