verified user
Member
- Jan 6, 2014
- 35
- 2
Labda walikuchengua wewe...
Sasa links za nini mkuu? Au ndo kupata hits nyingi za blog yako???
mirrow ndo nani
Dada yenu nasikia anampa mwili mirror?
Dada yenu nasikia anampa mwili mirror?
mirrow ndo nani
huyo mirrow ni mwanamuziki?ameimba nyimbo gani?
wolper kapendeza........very Classy
Amependezaje wakati uzee ndio umeanza kumtafuna. asipoolewa mwaka huu, atakuwa kama Blandina Chaula na wengineo