Wema kawekeza zaidi ya bilioni 7 kwenye biashara ya vipodozi

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Taarifa kutoka mtu wa ndani kabisa wa endless fame zinasema mwanadada mrembo Wema Sepetu katumia zaidi ya bilioni 7 to get her business up and running.Mrembo huyo ambaye ni miss Tz 2006 ambaye kila siku anazidi kuwa mrembo na kijana zaidi ukilinganisha na 2006 amepata hela zote hizo toka mauzo ya kazi zake za sanaa kutoka soko la nyumbani pekee.

Habari zinadai kuwa baadhi ya pesa hizo amewekeza kwenye viwanda vinavyotengeneza bidhaa zake huko China na zingine akiwekeza kufungua maduka makubwa ya kisasa Afrika Mashariki na Kati.Mtonyaji huyo amedai bila Wema Sepetu Bongo movie ingekufa miaka mingi iliyopita lkn Wema amekua akipambana kutengeneza kazi nzuri na za maana wakati movie yake ya mwisho iliuza kopi milioni 2 (ni kama double platinum hivi).

Wema na meneja Kadinda walipotafutwa kuongelea suala hilo hawakupokea simu lkn tulipojaribu kumpigia mdau wa karibu Petiman alidai yuko kwenye besidei ya dada diamond na akitoka angetutafuta.

CHANZO :GPL
 
Bila Wema bongo Movie ingekufa?! Kwa kazi gan hasaa aliyofanya?!!
 
B7 mzee unaweza kuihesabu kuanzia January to December na usimalize.hvyo ni vipodozi anauza au kafungua kiwanda kabisa tena siyo kimoja
 
Mhhh itakua typing error iyo.....eti labda mil7
 
Atakuwa kamaanisha (mil 7) 7,000,000/= au (mil 70) 70,000,000/= ata hii ningebisha (mil 700 ) 700,000,000/=) sembuse (bilioni 7) 7,000,000,000/=
 
kwahiyo promo wiki hii lazma akutafute akupe mpapaa ufaudu.......7bn kweli wema hatari dangote mdogo huyo
 
Mtoa mada inaonekana ww haujawai kupata ela Zako hat milion kumi ya pamoja! Hiv ni filam gn anazotoa wema hili aweze kupata billion 7? Mk....
 
Acha ujinga ww kwa mtu gani wakumiliki bilion 7 na kwa biashara hiyo ulioitaja kwa issue yavipodozi ustuzungue ww
 
ahhh wapi hamna lolote kwa lipi hasa amekuwa aliko dangote?i lov wema but ths no..wafanye kaz waache longolongo...et wema anasapot bong muv hahahaaaa jaman!
 
Back
Top Bottom