Wema kawekeza zaidi ya bilioni 7 kwenye biashara ya vipodozi

Drama zake tumemchoka akajenge ghorofa pole aliponga ahame na apake tena rangi mpya pameshakuwa na vumbi na colour ya papo tumeichoka aweke mpya
 
wawadanganye wajinga laini sio mie!billion saba munaijua au munaongea tu?!
Mimi ndio maana naamini Wema ni mgonjwa kabisa na ana hitaji msaada..hivi umejaribu kupita pale kwenye duka lake ukaona hiyo wanayo ita 7 billion?

Hii dunia ina vituko sana unaweza kushangaa watu wana nunua uongo kama huu...!
 
wema bila kiki haishi kabisa...akiona watu wanamsahau lazima aje na viroja.
TEH TEH... DEMBA MISS YOU....!

Mimi huwa naamini Wema dish lilisha yumba kitambo..hivi mtu timamu anaweza kuwadanganya watu kupitiliza namna hii?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nahisi sipotezi mengi kwa kutokuwa mdau mkubwa wa hizi bongo muvi, hivi hizi habari huwa zinaandikwa kwa malengo gani? Kuyakuza maneno ili kumpaisha mtu? (mpaka tuamini lakini). Au kuandika uongo ili kukuza mauzo ya gazeti huku kinadharia wakichonganisha wasomaji na mtolewa habari? (manake msomaji lazima aone ni uongo na kuishia 'kumchamba' anayeongelewa kwenye hiyo habari)..
 


Kadanganye wajinga sisi sio wehu,,,,,,Elimu ,Elimu ,Elimu:shock::shock:
 
Bilioni 7 angefungua lile genge mwenge??? Anacheza na bilioni saba yule Angekaa mwananyamala
 
Wema hana hata kibanda?

Unacheza wewe. Wema ana nyumba ya milioni 400:redface:.


Mbona alishaumbuliwa na mwenye nyumba alipodai ni ya kwake miaka sasa imepita. Landilodi alishangazwa nae akamuumbua.

Na hakuiongelea tena kuwa ni yake kwa kuumbuka.
 
Last edited by a moderator:
Bil 7? Huyo ni Wema Sepetu au yule mbibi wa Escrow mil 10 za mboga?
 
Big up Wema.....unatisha.
RISHARD BADE....endelea na huyu mdada kama alivyoagiza Mh.Rais.
Uchaguzi umekwisha sasa kazi tu.
Hata kama hiyo story ni uwongo angalau alipe hata 4m
 
Billion 7 mchezo nini? Billion 7 unanunua boti mpya 2 kama aliyonunua Bakhressa hivi majuzi (Lady Of Zanzibar) na chenji inabaki
 
come again...Shaba what??
koh kohπŸ˜€πŸ˜€
 
Mhh bilion saba jaman kuzitamka ni rahisi ila kuzimiliki ni kampuni moja kubwa sana yaan inakua maarufu na itamiliki wafanyakaz zaidi ya mia au ni kiwanda hicho kilichotimia kila kitu
 

Kwanza GPL ndio nini????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…