Wema: Licha ya Kuniacha, Nitazaa na Idris

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
27,256
Reaction score
16,317

LICHA ya madai kuwa wapenzi wawili, Idris Sultan na Wema Sepetu wamemwagana, muigizaji huyo nyota na Miss Tanzania 2006, amesema anataka kuzaa na mshindi huyo wa Big Brother Hotshots 2014 kutokana na jinsi anavyojali na mwenye huruma nyingi.

Akiteta na Amani hivi karibuni, Wema alisema atajisikia fahari sana endapo mtoto wake wa kwanza angezaa na Idris kwa kuwa amemuonesha dhahiri kuwa ni baba bora.

“Kiukweli namuomba sana Mungu kila kukicha, baba wa mtoto wangu awe ni Idris kwa kuwa ni mwanaume pekee ambaye naona ni mwenye mapenzi ya dhati kwangu,” alisema Wema.

Chanzo: Amani
 
Kumbe wanaume zake wengine hawakuwa na mapenzi ya dhati kwake!
 
ndo maana namkubali Wema,jamaa kamuacha ila atamzalia mtoto bila shaka huyu dada ana sperm bank yake
Hivi kuna video nimeiona recent akiwa na dimpoz nimeshangaa sana.. Wema ni mwema sana na ni jamvi la wageni
 
Dah,huyu dada ni tatizo sio bure.Hivi ndugu zake huwa wanajisikiaje wanapoona kila mwanaume anajipigia?
 
Humu ndani kuna watu uchafu walioufanya wema hafiki hata robo ila kwa kua sio maafuru wanajificha nyuma ya keyboard na kumshambulia dada wa watu,hivi kwa mfano yule mwanamke alichafua hali ya hewa kwa kufumuliwa linda tungejuaje kama sio zile picha?uchafu wengi mnafanya msikimbile kuponda wenzenu kisa ni maarufu,siku ya mwisho(kiama) kuna watu hata kuwatamazama itakua tabu kwa aibu.
 
So umeamua kumtetea malaya mwenzako?
 
Huo uchafu kwani unatangazwa?? Au ndo kutetea uchafu kisa team wema. Mtu mchafu hufanya mambo yake silently ili jamii icngundue uchafu wake. Ila wema sepetu yeye uchafu wake ni matangazo ya vifo[emoji4] [emoji4]
 
Wema hayupo vizuri kisaikolojia,nadhani suala la kukosa mtoto linamuumiza sana
 
Ilikuwa lazma aseme hivyo jamani, kweli Idris ni mtu anaejali sana, Nani mwingine angeweza kukabidhi zawadi ya million Mia tano za BBA na baada ya hela kwisha tunaambiwa mapenzi yameisha. Hakika kijana amekuwa mwema sana kwa Wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…