Wema: Mimi na Diamond tumeshayamaliza na ameniajiri Wasafi TV

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Wema Sepetu amesema kwa sasa ameshamaliza tofauti zake na Diamond Platnumz na kuwa kwa sasa amekuwa Boss wake kwa kuwa amemuajiri Wasafi TV

Wema amesema hawana uhusiano wa mapenzi ila wanapeana sapoti kwenye kazi

Pia amejibu kumkumbatia Diamond ndio kulikosasababisha Zari amuache na kusema Zari alikuwa na sababu kibao za kumuacha Diamond na sio sababu ya yeye kumkumbatia

 
Wema " ameajiriwa" na Diamond?!!......kweli dunia tambala bovu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…