Unatangaza ndoa hata kabla hujakubaliwa? Au kwa kuwa binti umemuona ndo hivyo tena kila anayegusa, huenda hana mpango wa kuolewa au ingawa anawakubalia wengi huenda wewe ukakwaa kisiki? Cha msing tafuta contact zake na umsikie anasemaje ndipo urudi hapa kwetu kuomba ushauri unaotaka na ikibidi michango ya harusi. Katika hatua hii ukipewa go ahead na members humu kisha ukatolewa nje na mhusika nini kitafuata? au unataka utakapojinyonga kwa kukataliwa utuhusishe!