warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Nasikia bibie na baby wake wapo central kwa utapeli, nasikia walimtapeli mtu kwenye instagram ya wema sepetu , watu wa matangazo.... sasa bibie akaamua aji hack apost matangazoš¤£š¤£, Ila njaa mbaya , mastaa wenzio wako busy kutangaza products za makampuni ya maana , wengine mabalozi, bibie yuko busy kutangaza dawa za nguvu za kiume, kweli aliyemroga wema kafa , na nasikia familia yake imegoma kwenda polis, wamchoka , wamesema wacha dunia imfunze