Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
DIAMOND amefunguka kuwa yuko mbioni kushiriki move ambayo anatakiwa kucheza na Girlfrend wake wa zamani WEMA.
anasema alipata tabu kidogo kukubaliana na wazo hilo ila baadae alikubali baada ya ushauri.
ANADAI AMELIPWA HELA NYINGI SANA AMBAYO HATA KWENYE MZIKI HAJAWAHI KULIPWA.
ndio maana alikubali.
SOURCE:KIPINDI CHA TAKE ONE.