Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Wema na Diamond ndio habari ya mjini leo

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Posts
38,342
Reaction score
88,625
Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana.

Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.

Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana. Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.
Nimejaribu kuweka video simu inasumbua.
Wanaikurubia zinaa?
 
Itabidi nao waungane wamtoe wema mazima sasa. Nae kakaa sana wakati wenzake wanapita tu
Kuna watu apa mjini wanaishi kwa kutegemea team izi, sasa wale wa team zari na mobeto kipato cha kitapungua kama hii ishu ikiwa kweli, wantegemea matangazo insta kupitia majina ya awa watu
 
Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
 
Mzigua bwana umesahau kua old is gold,hata wewe yule kijana single father anaweza zunguka wee huko mwisho wa siku akarejea,hasa ukiwa na upumbavu wa kumpa nafasi nyingine kama Upumbavu wa Tz sweetheart
 
Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...

Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.

Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.

Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
...kumbe ni kiki?.....
 
Mi pia nimejiuliza sana kuhusu hili swala maana nimebahatika kuiona hiyo clip,nikajiuliza hivi huyu mtu hana hata washauri kweli,sasa naanza kuamini kuwa kuna uwezekano mkubwa haya matukio huwa yanatengenezwa..
 
Kuna watu apa mjini wanaishi kwa kutegemea team izi, sasa wale wa team zari na mobeto kipato cha kitapungua kama hii ishu ikiwa kweli, wantegemea matangazo insta kupitia majina ya awa watu
Sasa team Wema itarudi kwa kasi. Muda wa wao kuvuna pesa za matangazo.
 
Back
Top Bottom