Wanaikurubia zinaa?Wale wapenda ubuyu wenzangu tembeleeni kwa dada wa taifa kuna video mubashara kabisa ya Tz Sweetheart na kaka Abdul Naseeb. Mapenzi yamerudi kwa kasi ya ajabu sana. Zarina ni muda sasa aamue kuondoka akaelee au aendelee kubanana na Wema na kwa hali ilipofikia Diamond hawezi kumuacha tena Wema hata awe aoe Wema ataendelea kuwepo.
Nimejaribu kuweka video simu inasumbua.
Angalia usije kusikia gaude ni mtoto wa jirani wewe ni baba mleziKwa sasa habari ya mjini ni mimi na Mama Gaude, hao wengine zilipendwa tu.
Kuna watu apa mjini wanaishi kwa kutegemea team izi, sasa wale wa team zari na mobeto kipato cha kitapungua kama hii ishu ikiwa kweli, wantegemea matangazo insta kupitia majina ya awa watuItabidi nao waungane wamtoe wema mazima sasa. Nae kakaa sana wakati wenzake wanapita tu
Hakuna bikira ambae hajawahi hata kushikwa chuchu, hivyo akiamua kumrejea mshika chuchu zake wa kwanza atamrejea tuFundisho ni:-Wanaume tuoe mabikra tu.
...kumbe ni kiki?.....Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...
Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.
Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.
Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Mi pia nimejiuliza sana kuhusu hili swala maana nimebahatika kuiona hiyo clip,nikajiuliza hivi huyu mtu hana hata washauri kweli,sasa naanza kuamini kuwa kuna uwezekano mkubwa haya matukio huwa yanatengenezwa..Diamond hawezi kufanya jambo bila kusindikiza na kiki...ilikuwa lazima lifanyikeke jambo ili lengo lake litimie...
Sitashangaa kusikia Wema alilipwa kutengeneza hiyo kiki.
Diamond sio mjinga kiasi hicho kufanya tukio kama lile tena hadharani huku camera zikimchukua.
Sina shaka kuwa lile ni tukio la kupangwa.....
Sasa team Wema itarudi kwa kasi. Muda wa wao kuvuna pesa za matangazo.Kuna watu apa mjini wanaishi kwa kutegemea team izi, sasa wale wa team zari na mobeto kipato cha kitapungua kama hii ishu ikiwa kweli, wantegemea matangazo insta kupitia majina ya awa watu